Politics aint dirty… Politicians make politics dirty..

Yaani kuna venye na wish we kenyans
Tunaeza fungua macho
Yaani ka pacho
…. Yaani nawish wakenya
Tunaenza elewa diffrence
Ya politicians na leaders….
Yaani we ni mluyha.. Me mkikuyu..
Yule mkamba.. Na wewe mjaka
Buh mapoliticians wantumia this diffrence
Kututenga si wakenya…
Yaani nataka leo tuangalie tbt
Si ikiwa form ya picha but
But yaani ikiwa interms of politics
Kuna venye ata waiguru akiloot nys
She doesnt do it for kikuyus
Ama yut wa kirinyaga county
Ata bruce odhiambo akiloot youth fund
Its not for a broke luhya in nyalenda kisumu
Yaani kuna vile sifai kuendelea na hii tbt
But wakenya muthama aki akusiwa na kugrab land
He doesnt share it with landless squaters in ukambani
Yaani hawa wasee hawatujali
Kuwachagua ilikua ajali
Ata hands za weta zikikuwa oiled with bat money
A common wafula toka bungoma haget ata bob
Sijui ka mnaget… Ju ata a william ruto akigrab 100s of acres za land
A common kipkosgei in kipyego doesnt get even an inch
Yaani iii tbt ni endless
Buh mnaget venye huwa wanatuwaza less..
Me najua time tutaanza kuthink ka wakenya
Tuache maneno ya etnicity
Tutamka kenya a better place to live in
Yaani wakenya mnafa kuwa macho
Yaani ka pacho
Ju 2007 ilikua uhunye, weta na kalonzo
Na rende ingine raila, duale.. Na ruto
But 2013 ilikua uhunye, duale na ruto
Na rende ingine iliwa raila.., weta na Kalonzo
Yaani me naeza like wakenya mthink about this
Ju nyi unyanyaswa na baada ya miaka tano mnarudi
Kuvote na kuvote in the same mistakes… It shud be
Kenyans as one tueke ukabila kando tujenge kenya ka wakenya…

Advertisements

12 thoughts on “Politics aint dirty… Politicians make politics dirty..

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s